Good morning love sms
♥ No matter what we have to face in this world, we will do it as one. Our bond is unbreakable and will help us get through anything.
♥ I think back to before I met you, and I really cannot imagine my life without you by my side. You really do complete me, my love.
♥ What is your perfect day? Mine is doing anything with you. We could be doing anything in the world, but as long as I am with you, I’m happy.
♥ No matter what you are doing, when I see your face, and the cute looks that you give me, my heart skips a beat. I adore looking at you.
♥ There are some lovely places in the world, but nothing compares to the beauty that I saw the first time I was in your presence.
KISWAHILI
♥ Haijalishi tunachopaswa kukabiliana nacho katika ulimwengu huu, tutafanya kama kitu kimoja. Uhusiano wetu hauwezi kuvunjika na utatusaidia kupitia chochote kile hata kiwe kigumu kias gan.
♥ Nakumbuka kabla sijakutana na wewe, na kwa kweli siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe kando yangu. Unanikamilisha kweli mpenzi wangu.
♥ Siku yako kamili ni ipi? Yangu ni kuwa karibu na wewe. Tunaweza kufanya chochote duniani, ili mradi tu niko na wewe,
♥ Haijalishi unafanya nini, ninapoona uso wako, na sura nzuri unayonipa, moyo wangu huruka. Napenda kukutazama.
♥ Kuna baadhi ya maeneo ya kupendeza duniani, lakini hakuna kitu kinacholinganishwa na uzuri ambao niliona mara ya kwanza nilipokuwa mbele yako.
Kukopi sms bonyeza bila kuachia
Comments
Post a Comment