good night love sms
click & hold to copy sms
♥ There is no distance that I might not go to tonight just to be with you and to wish you a very warm good night.
♥ Just checking in to say Hi, hoping that you had a fruitful day and wishing for a very comfortable night sleep ahead, goodnight.
♥ You are the first thing that comes to my mind when I wake up and you are the last thing on my head when I fall asleep. In short, I cannot stop thinking about you. Goodnight.
♥ I wonder how well you sleep at night, and what kind of dreams you have. I wish I could step into them like you step into mine. Goodnight beautiful.
KISWAHILI
♥ Kuna siku nyingi ambazo zimepita na bado kuna nyingi zijazo. Kati ya siku hizo sitauacha usiku huu upite bila kukuambia kuwa nakupenda na ndoto zako zote zitimie. Usiku mwema mpenzi wangu.
♥ Hakuna umbali ambao huenda nisiende usiku wa leo ili tu kuwa na wewe na kukutakia usiku mwema .
♥ Niliingia tu ili kusema Hujambo,Nkitumai kuwa ulikuwa na siku njema, usiku mwema.
♥ Nashangaa jinsi unavyolala vizuri usiku, na ni aina gani ya ndoto unazoota. Natamani ningeingia ndani yao kama unavyoingia kwenye yangu. Usiku mwema mrembo.
Kukopi sms bonyeza bila kuachia
Comments
Post a Comment