Now I know why I belong to this place on earth
click & hold to copy sms
“Your angelic face is making me breathless.
“With you I have found my home and paradise.”
“Fulfilling your dreams is my fulfillment.”
“Lying in your loving arms is heaven on earth.
KISWAHILI
"Sasa nimejua kwa nini nipo hapa duniani - ni kwa sababu yako."
“Uso wako wa kimalaika unanifanya nishindwe kupumua.
"Pamoja nawe nimepata nyumba yangu na paradiso."
"Kutimiza ndoto zako ni utimilifu wangu."
"Kulala katika mikono yako ya upendo ni peponi paliopo duniani.
Kukopi sms bonyeza bila kuachia
Comments
Post a Comment