I can take some downs as long as...................

click & hold to copy sms

 ♥ I love every single thing about you. Everything about you is flawless.

♥ Being around you feels as surreal and wonderful as a dream.

♥ Happiness is often thought to be a rare thing in life, but when I am with you, every minute of the day is happy.

♥ When I look into your eyes, all I want to do is hold you tight and never let you out of my arms.

♥ I have always heard that true love has its ups and downs, but baby, I can take some downs as long as my ups are with you by my side.

 KISWAHILI

 ♥ Ninapenda kila jambo kukuhusu. Kila kitu kuhusu wewe hakina dosari.

♥ Kuwa karibu nawe kunanifanya nihisi ajabu kama nipo ndotoni.

♥ Furaha mara nyingi hufikiriwa kuwa kitu adimu maishani, lakini ninapokuwa na wewe, kila dakika ya siku ni ya furaha.

♥ Ninapotazama machoni pako, ninachotaka kufanya ni kukushika  na kamwe nisikuache utoke mikononi mwangu.

♥ Siku zote nimekuwa nikisikia kwamba mapenzi ya kweli yana heka heka zake, lakini jamani, ninaweza kupata maafa kadhaa mradi tu mambo yangu ya kuwa nawe yatimie

 

Kukopi sms bonyeza bila kuachia

 

Comments

Popular posts from this blog

Night love sms