I hate being away from you.

click & hold to copy sms

 ♥ Your awesome smile in the morning, beautifies even the ugliest days. Good morning, my lady!

♥ There may be nasty weather this morning, but the only storm I care about is the one that rages in my heart for you.

♥ You’re my cutie, and I’m off duty, so let’s spend the morning together!

♥ Your bright eyes and morning smile give me all the energy I need to get through the day.

♥ When you wake up, and your eyes focus on me, my heart poses for you.

♥ I’m missing our kissing this morning. I hate being away from you.

KISWAHILI

♥ Tabasamu lako la kupendeza asubuhi, hupamba hata siku mbaya zaidi na kuwa nzuri. Habari za asubuhi, Kipenzi changu!

♥ Huenda kuna hali mbaya ya hewa asubuhi hii, lakini dhoruba pekee ninayojali ni ile inayopiga moyoni mwangu kwa ajili yako.

♥ Wewe ni mrembo wangu, na siko kazini, kwa hivyo tulale pamoja asubuhi!

♥ Macho yako angavu na tabasamu la asubuhi hunipa nguvu zote ninazohitaji ili kuvuka siku nzima.

♥ Unapoamka, na macho yako yakinitazama, moyo wangu unakuwa kwa ajili yako.


♥ Ninakosa busu letu leo asubuhi. Nachukia kuwa mbali na wewe. 


Kukopi sms bonyeza bila kuachia

 

 

Comments

Popular posts from this blog

good night love sms

Night love sms