I miss everything about you
click & hold to copy sms
Our love is too great for any distance to truly separate us. I’ll be dreaming of you until we are together again.
• I miss your hugs. I miss your kisses. I miss everything about you.
• Your love is like a tattoo on my heart that aches until we are together again.
• There’s no place like home when you are with me – I love you and it’s just not the same without you here by my side.I wish you were here right now so I could show you exactly how much you mean to me.
KISWAHILI
Upendo wetu ni mkubwa sana kwa umbali wowote ule hauwezi kututenganisha kamwe. Nitakuwa nikikuota hadi tutakapokuwa pamoja tena.
• Nimekosa kukumbatiwa nawe. Nimekosa busu zako. Ninakosa kila kitu kukuhusu ila naamini one day tutakuwa sote .
• Mapenzi yako ni kama tattoo kwenye moyo wangu ambayo inauma hadi tuwe pamoja tena.
• Hakuna mahali kama nyumbani unapokuwa nami - nakupenda na si sawa bila wewe kuwa hapa kando yangu. Natamani ungekuwa hapa sasa hivi ili nikuonyeshe jinsi unavyonijali.
Kukopi sms bonyeza bila kuachia
Comments
Post a Comment