Love sms for wife
♥ I can just sit and watch you sleep, and even though you are doing nothing, your presence makes my heart sing. I am delighted to simply be in the same room as you.
♥ You are a wonderful person both inside and out. I cannot express how you make me feel, but I know that I love you with all of my heart.
♥There are only certain things in this world that are worth fighting for, but my love for you is something that I would fight to the death to keep.
♥ I think about you all of the time. I see you in my sleep, and when I open my eyes, you are still in my view.
♥ If I could only see you for a second of the day, it would still make my day much happier than a full day without seeing your smiling face.
KISWAHILI
♥ Ninaweza kukaa tu nikiwa nakutizama ukiwa umelala, na ingawa hufanyi chochote, uwepo wako hufanya moyo wangu kuimba na kufarijika. Nimefurahiya kuwa katika maisha haya wewe.
♥ Wewe ni mtu mzuri ndani na nje. Siwezi kueleza jinsi unavyonifanya nijisikie, lakini najua kwamba ninakupenda kwa moyo wangu wote.
♥Kuna mambo fulani tu katika ulimwengu huu ambayo yanafaa kupigania, lakini upendo wangu kwako ni kitu ambacho ningepigania kufa kupona ili kuhifadhi upendo usipotee.
♥ Ninakufikiria kila wakati. Ninakuona usingizini, na ninapofungua macho yangu, bado uko kwenye mtazamo wangu.
♥ Ikiwa ningekuona kwa sekunde moja tu ya siku, bado ingefanya siku yangu kuwa ya furaha zaidi kuliko siku nzima bila kuona uso wako ukitabasamu.
KUKOPI SMS BONYEZA BILA KUACHIA
Comments
Post a Comment