You make me want to make the world a better place.


click & hold to copy sms
 

♥ Your smile is the most angelic thing I’ve ever been fortunate enough to witness.

♥ When we’re together, nothing in the world can stop us, and I mean absolutely nothing.

♥You’re the only person on the planet who fulfills me. You’re my other half.

♥ It’s you and me against the universe. We’re the strongest team there is.

♥ You make me want to make the world a better place. You’re perfect.

KISWAHILI

♥ Tabasamu lako ndilo jambo la kimalaika zaidi ambalo nimewahi kuwa na bahati ya kushuhudia.

♥ Tunapokuwa pamoja, hakuna kitu duniani kinachoweza kutuzuia Kuwa pamoja.

♥Wewe ndiye mtu pekee kwenye sayari ambaye ananitimizia kiu yangu. Wewe ni nusu yangu .

♥ Ni wewe na mimi dhidi ya ulimwengu. Sisi ndio timu yenye nguvu zaidi.

♥ Unanifanya nitake kufanya ulimwengu kuwa mahali pazuri zaidi. Wewe ni mkamilifu.

 

Kukopi sms bonyeza bila kuachia

Comments

Popular posts from this blog

Night love sms