My days are better
click & hold to copy sms
♥ Sleep well, rest up and get ready to go exploring again- I love that everyday is an adventure with us!
♥ I loved our time together today and can’t wait to enjoy even more. I love you, darling.
♥ Sleep well, rest up and know that I’m looking forward to our next day together.
♥ Deep sleep and total rest are key to helping us function as a couple and you help give me that when we are lying beside each other. Good night, my dear love.
♥ My days are better, my nights sweeter and my life is just better. Thank you for being a part of my life everyday- rest well, my dear love, knowing this is what you bring to me.
KISWAHILI
♥ Lala vizuri, pumzika na uwe tayari kuipokea kesho kwa furaha- Ninapenda kuwa nawe kila siku
♥ Nilipenda kufurahia wakati tupo pamoja leo na siwezi kusubiri kufurahia zaidi. Ninakupenda, mpenzi.
♥ Lala vizuri, pumzika na ujue kuwa ninatazamia siku yetu inayofuata tukiwa pamoja.
♥ Usingizi mzito na kupumzika kabisa ni ufunguo wa kutusaidia kufanya kazi kama wanandoa na unanisaidia wakati tunalala kando. Usiku mwema, mpenzi wangu.
♥ Siku zangu ni bora, usiku wangu ni mtamu na maisha yangu ni bora zaidi. Asante kwa kuwa sehemu ya maisha yangu kila siku- pumzika vizuri, mpenzi wangu
Kukopi sms bonyeza bila kuachia
Comments
Post a Comment