The stars shine so bright in the sky,
click & hold to copy sms
♥The stars shine so bright in the sky, but they are nothing compared to the ones in your eyes. Goodnight sweetheart.
♥ I cannot wait to meet you in my dreams. So I shan’t delay it any longer. Goodnight dear
♥ Can I go to bed without saying goodnight to you? I want to pretend like you’ll be by my side all night long.
♥ Goodnight, love. Rest those beautiful eyes of yours.
♥ I hope you sleep peacefully through the night. While my heart repeats your name, I know I will.
♥ I want to fall asleep and wake up to your kiss; tonight, tomorrow, and every day that follows.
KISWAHILI
♥Nyota zinang'aa sana angani, lakini si kitu ukilinganisha na zile za machoni pako. Usiku mwema mpenzi.
♥ Siwezi kusubiri kukutana nawe katika ndoto zangu. Kwa hivyo sitaichelewesha tena hii nafasi. Usiku mwema mpendwa
♥ Je, ninaweza kwenda kulala bila kusema usiku mwema kwako? Ninataka kujifanya kama utakuwa kando yangu usiku kucha.
♥ Usiku mwema, mpenzi. Pumzisha hayo macho yako mazuri.
♥ Natumai utalala kwa amani usiku kucha. Wakati moyo wangu unarudia jina lako, najua nitafanya.
♥ nataka kulala na kuamka kwa busu yako; usiku wa leo, kesho, na kila siku inayofuata.
Kukopi sms bonyeza bila kuachia
Comments
Post a Comment