There is no limit to our love

click & hold to copy sms
♥ Miles may separate us,
Time may distance us,
But we will always be connected always and forever.

♥ I’m thinking of you,
Hope you’re thinking of me,
In love we will forever be.

♥ Your love is the key that released me from solitude. My heart is now free and I forever will give it to you.

♥ My heart is filled with desire to please you,
My blood is filled with passion wanting to touch you,
And my thoughts are filled with longing to see you.

♥ There is no limit to our love. It reaches to the farthest galaxies and shines brighter than any star. I love you, always and forever!


 KISWAHILI

 ♥ Kilomita zinaweza kututenganisha,
Muda unaweza kututenganisha,
Lakini tutaunganishwa daima na milele.

♥ ninakufikiria wewe,
Natumai unanifikiria pia,
Katika upendo tutakuwa milele au sio?.

♥ Upendo wako ndio ufunguo ulionifungua kutoka kwenye upweke. Moyo wangu sasa uko huru na nitakupa milele.

♥ Moyo wangu umejaa hamu ya kukupendeza,
Damu yangu imejaa shauku ya kutaka kukugusa,
Na mawazo yangu yamejawa na hamu ya kukuona.

KUKOPI SMS BONYEZA BILA KUACHIA

 

 

Comments

Popular posts from this blog

Night love sms